Wednesday, January 28, 2015

AUDIO: YAMOTO BAND WATOKA NA KIBAO KIPYA KIITWACHO TEMBO BAADA YA NITAKUPWELEPWETA.....SIKILIZA HAPA






Kundi la muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania, Yamoto Band wameachia audio ya wimbo wao mpya uitwao ‘Tembo’ ikiwa ni siku kadhaa tangu waachie video ya wimbo wao unaofanya vizuri katika soko la muziki nchini ‘Ntakupwelepweta’. Usikilize hapa….

0 Responses to “AUDIO: YAMOTO BAND WATOKA NA KIBAO KIPYA KIITWACHO TEMBO BAADA YA NITAKUPWELEPWETA.....SIKILIZA HAPA”

Post a Comment

More to Read