Tuesday, January 13, 2015
MAKUBWA...SOMA ORODHA YA WACHEZAJI WA YANGA WALIOFIKISHWA MAHAKAMANI.
Do you like this story?
Okwi |
Jaja |
Juma Kaseja |
Klabu
ya Yanga imewafungulia mashitaka wachezaji wake watatu waliovunja mikataba na
timu hiyo kwa sababu tofauti .
Yanga katika Kesi hizo inadai fidia toka kwa wachezaji hao ambao kwa mujibu wa maeleezo ya klabu wamevunja mikataba na hivyo kukiuka makubaliano ya kisheria hali ambayo inalazimu sheria kuchukua mkondo wake dhidi ya wachezaji hao .
Yanga imemfungulia kipa Juma Kaseja kesi ya kukiuka makubaliano ambapo imemuwekea kipa huyo kiwango cha fidia ya shilingi milioni 365,000,000/= ambayo atapaswa kulipa endapo atakutwa na hatia .

Kipa Juma Kaseja ameshitakiwa
na Yanga ambayo inamdai milioni 365 kwa kuvunja mkataba na klabu hiyo .
Kwa
upande mwingine Yanga pia imefungulia mashitaka kama hayo mchezaji raia wa
Uganda Emmanuel Okwi ambaye atapaswa kulipa fidia ya dola milioni moja endapo
atakutwa na hatia .
Katika kesi hiyo pia yumo mshambuliaji wa Kibrazil Genilson Santos Santana maarufu kama Jaja ambaye ameburuzwa kortini baada ya kushindwa kurudi kuitumikia klabu hiyo baada ya mapumziko ya kumalizika kwa nusu ya mzunguko wa kwanza .
Yanga pia imemshitaki
Okwi ambaye inamdai fidia ya dola milioni 1 .
Jaja
ambaye alishindwa kufanya vizuri kwenye mechi nane alizocheza hakurudi wakati
wa kufanya hivyo ulipofika huku kukiwa na madai ya mchezaji huyo kupatwa na
matatizo ya kifamilia .
Jaja
naye ameshitakiwa kwa kuvunja mkataba.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “MAKUBWA...SOMA ORODHA YA WACHEZAJI WA YANGA WALIOFIKISHWA MAHAKAMANI.”
Post a Comment