Thursday, January 29, 2015

ZAIDI YA MIFUGO 40 YAFA KWA KULA SUMU YA PANYA ISIMANI IRINGA.


Wananchi wa kijiji cha Ivangwa kata ya Isimani Mkoani Iringa wakishangaa mifugo hiyo ambayo imekufa mara baada ya kula sumu wakati wakiwa malishoni mwishoni mwa wiki.


Afisa Afya kituo cha Afya Isimani ambaye jina lake halikupatikana mara moja akitoa baadhi ya viungo ya mifugo hiyo kwa lengo la kufanya uchunguzi






0 Responses to “ZAIDI YA MIFUGO 40 YAFA KWA KULA SUMU YA PANYA ISIMANI IRINGA.”

Post a Comment

More to Read