Monday, March 30, 2015
MAMA AWAPIKIA WATOTO WAKE NYAMA YA PANYA....!!!!
Do you like this story?
Kuna tamaduni
nyingine hutumia nyama ya mbwa kama kitoweo na wakati mwingine huamini ina
faida kubwa mwilini tofauti na nyama ambazo zimezoeleka kuliwa na binadamu.
Hii imetokea huko
India baada ya mwanamke mmoja kumlazimisha mtoto wake kula nyama ya panya kama
kitoweo cha asubuhi kwa madai watamsaidia kumpatia nguvu.
Mtoto huyo
aitwaye Chen alizua majibizano kwenye mitandao
ya kijamii baada ya kuweka picha ya panya hao ambao alitengewa na mama yake
huku mama huyo akumuhimiza kuhakikisha anamaliza kabla ya yeye kuondoka kwenda
kazini.
Awali mtoto huyo
alidhani hawakuwa panya bali sungura lakini alipokuja kuujua ukweli alikataa
kula lakini mama yake aliendelea kumlazimisha.
Alimsisitiza kuwa
panya mmoja ana uwezo wa kumpatia vitamini mwilini sawa na kula kuku
watatu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “MAMA AWAPIKIA WATOTO WAKE NYAMA YA PANYA....!!!!”
Post a Comment