Wednesday, April 1, 2015

RAIS OBAMA KUFANYA ZIARA NCHINI KENYA JULAI 2015.





Ikulu ya Marekani imetangaza kuwa, Rais Barrack Obama atazuru Kenya mwezi Julai mwaka huu, taifa alikozaliwa babake.

Inasemekana
kuwa Bwana Obama, atahudhuria mkutano mkubwa wa kimataifa kuhusu 

ujasirimali, utakaofanyika katika mji mkuu wa nchi hiyo-Nairobi.

Tangu awe Rais wa Marekani, Barack Obama hajawahi kuzuru taifa hilo la Afrika Mashariki kama Rais.

Alizuru mataifa kadhaa za Afrika ikiwemo ziara ya taifa jirani Tanzania mnamo mwaka 2013 bila kuzuru Kenya.

Alizuru Kenya akiwa seneta mnamo mwaka 2006.Bababke Obama alisomea Marekani na hatimaye kurejea Kenya baada ya Obama kuzaliwa.

0 Responses to “RAIS OBAMA KUFANYA ZIARA NCHINI KENYA JULAI 2015.”

Post a Comment

More to Read