Saturday, April 4, 2015

ROONEY KAWA MTAMU KAMA 'MCHARO' CHEKI MAVITUZI YAKE UNITED IKICHINJA 3-1


Rooney akishangilia baada ya kufunga goli la sita katika mechi nane alizoichezea tangu aliporudishwa nafasi ya nyuma zaidi

Rooney akiifungia United bao la pili kwa shuti la mguu wa kulia na kuifanya timu yake iongoze 2-0 katika dakika ya 79


Wayne Rooney (katikati)  alifunga goli tamu  Manchester United ikiitandika Aston Villa 3-1  katika mechi ya ligi kuu iliyopigwa leo Old Trafford

0 Responses to “ROONEY KAWA MTAMU KAMA 'MCHARO' CHEKI MAVITUZI YAKE UNITED IKICHINJA 3-1”

Post a Comment

More to Read