Tuesday, September 29, 2015

DK MAGUFULI AITEKA IRINGA AWAFAGILIA MWAKALEBELA, MGIMWA


Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli akijinadi kwa Wananchi wakati wa mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Samora, mjini Iringa.



 Dk Magufuli akimnadi mgombea ubunge Jimbo la KIalenga kupitia CCM,  Mgimwa wakati wa mkutano wa kampeni katika Mji wa Ifunda.

Frederick Mwakalebela na MwanaFA wakipiga push up kuonesha kuwa wako fiti.


Mgombea urais kwa tiketi ya CCM. Dk. John Pombe Magufuli jana aliendelea kupiga kampeni za kuomba kura za urais pamoja na wabunge na madiwani wake.

Akiwa mkoani Iringa Magufuli alifanya mikutano mikubwa katika miji midogo ya Ifunda, Irula na kisha alimalizia kwa mkutano wa mwisho uliofanyika uwanja wa Samora uliopo Iringa mjini. Akiwa Iringa mjini Magufuli aliwanadi wagombea wake akiwemo Frederick Mwakalebela  anayegombea jimbo la Iringa mjini.

0 Responses to “DK MAGUFULI AITEKA IRINGA AWAFAGILIA MWAKALEBELA, MGIMWA”

Post a Comment

More to Read