Thursday, October 8, 2015

MGOMBEA UBUNGE WA CCM AZINDUA KAMPENI ZA UDIWANI KATA YA SISIMBA.


Mgombea Ubunge kwa Tiketi ya ccm Bw Sabwee Shitambala akitoa sela zake kwa wakazi wa kata ya Sisismba.(Picha na David Nyembe wa Fahari News)



Mgombea udiwani kata ya Sisismba Bw Shadrack Makombe akiwaeleza wananchi wa kata yake nn atakifanya pindi wakimchagua.



Vijana wa kata ya Sisimba wakisikiliza kwa makini sera za diwani wao.(Picha na David Nyembe wa Fahari News)

Band ya Baby Tot ikifanya yake(Picha na David Nyembe wa Fahari News)

0 Responses to “MGOMBEA UBUNGE WA CCM AZINDUA KAMPENI ZA UDIWANI KATA YA SISIMBA.”

Post a Comment

More to Read