Wednesday, October 7, 2015
MGOMBEA UDIWANI KATA YA SISIMBA AZINDUA KAMPENI.
Do you like this story?
Mgombea Ubunge kwa Tiketi ya Chadema Mh Joseph Mbilinyi (Sugu)akitoa sera zake kwa wakazi wa kata ya Sisismba jijini Mbeya(Picha na David Nyembe wa Fahari News) |
Wananchi wa kata ya sisimba wakimsikiliza kwa makini Mgombea Ubunge kwa Tiketi ya Chadema Mh Joseph Mbilinyi (Sugu) |
Mgombea wa kiti cha udiwani Kata ya Sisismba Bw Jofrey Kajigili akitoa sera zake kwa wananchi. |
Ezekia Charles Mwawipa Mwenye Umri wa Miaka kumi na saba(17)akipigia kampeni Diwani wa Kata ya Sisimba Bw Jofrey Kajigili. |
Wananchi wa kata ya sisimba wakimsikiliza kwa makini Mgombea Ubunge kwa Tiketi ya Chadema Mh Joseph Mbilinyi (Sugu) |
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “MGOMBEA UDIWANI KATA YA SISIMBA AZINDUA KAMPENI.”
Post a Comment