Monday, October 5, 2015
MKURUGENZI MKUU WA TAKUKURU AZINDUA JENGO JIPYA LA TAKUKURU MKOA WA MBEYA
Do you like this story?
Mwonekano wa jengo jipya la Takukuru |
Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru nchini, Dkt. Edward Hoseah akizungumza katika sherehe za uzinduzi wa jengo la ofisi mpya ya TAKUKURU Mkoa wa Mbeya.(Picha na David Nyembe wa Fahari News) |
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro
akitoa salama za mkoa wa mbeya katika hafla ya uzinduzi wa jengo la Takukuru
Mkoa wa Mbeya
|
Mkurugenzi Mkuu
wa Takukuru nchini, Dkt. Edward Hoseah akipanda mti katika sherehe za
uzinduzi wa jengo la ofisi mpya ya TAKUKURU Mkoa wa Mbeya.(Picha na David Nyembe wa Fahari News)
|
Mkuu wa Mkoa wa
Mbeya Abbas Kandoro akishiriki zoezi la upandaji mti
katika sherehe
za uzinduzi wa jengo la ofisi mpya ya TAKUKURU Mkoa wa Mbeya.
|
Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru nchini,
Dkt. Edward Hoseah akisimikwa kuwa chifu wa kabila la wasafwa katika sherehe za
uzinduzi wa jengo la ofisi mpya ya TAKUKURU Mkoa wa Mbeya.
|
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “MKURUGENZI MKUU WA TAKUKURU AZINDUA JENGO JIPYA LA TAKUKURU MKOA WA MBEYA”
Post a Comment