Wednesday, December 16, 2015
PAUL NONGA ATUA YANGA RASMI KWA MKATABA WA MIAKA MIWILI
Do you like this story?
Rasmi Yanga
imekibomoa kikosi cha Mwadui FC baada ya kumnasa mshambuliaji wake, Paul Nonga.
Nonga amejiunga na
Yanga kwa mkataba wa miaka miwili, leo.
Awali Nonga
alisafirishwa na Yanga kutoa Mwadui, Shinyanga kwa ajili ya kumalizia
mazungumzo na mambo yamekamilika leo.
Kabla ya kujiunga na
Mwadui FC, Nonga alikuwa mmoja wa washambuliaji hatari wa Mbeya City chini ya
Juma Mwambusi ambaye sasa ni kocha msaidizi wa Yanga na inaelezwa ndiye
aliyempendekeza.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
.gif)


0 Responses to “PAUL NONGA ATUA YANGA RASMI KWA MKATABA WA MIAKA MIWILI”
Post a Comment