Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph
Magufuli akimuapisha waziri wa Katiba na Sheria, Harrison Mwakyembe
katika hafla fupi ya kuwaapisha Mawaziri na Manaibu Waziri, leo katika
ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph
Magufuli akimuapisha Waziri wa Kilimo Mifugo na Uvuvi, Mwigulu Lameck
Nchemba katika hafla fupi ya kuwaapisha Mawaziri na Manaibu Waziri, leo
katika ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph
Magufuli akimuapisha waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii na Jinsia, wazee
na watoto, Ummy Mwalimu katika hafla fupi ya kuwaapisha Mawaziri na
Manaibu Waziri , leo katika ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph
Magufuli akimwapisha waziri wa Sera, Bunge, Kazi ,Vijana,Ajira na
Walemavu, Dkt. Abdallah Possi katika hafla fupi ya kuwaapisha Mawaziri,
na manaibu Waziri leo katika ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph
Magufuli akimuapisha Naibu waziri wa Fedha na Mipango, Dkt.Ashantu
Kijaji katika hafla fupi ya kuwaapisha Mawaziri, leo katika ukumbi wa
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph
Magufuli akimuapisha waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter
Mhongo katika hafla fupi ya kuwaapisha Mawaziri na Manaibu Waziri, leo
katika ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam.
0 Responses to “ RAIS MAGUFULI AWAAPISHA MAWAZIRI NA MANAIBU WAZIRI IKULU DAR LEO”
0 Responses to “ RAIS MAGUFULI AWAAPISHA MAWAZIRI NA MANAIBU WAZIRI IKULU DAR LEO”
Post a Comment