Tuesday, March 15, 2016

ZIARA YA NAIBU WAZIRI WA OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA(TAMISEMI) MH SULEIMAN JAFFO.WILAYA YA MBARALI MBEYA


NAIBU  Waziri, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) Suleiman Jaffo.akizindua rasmi Ghara la kuifadhia Mpunga katika wilaya ya Mbarali.(Picha na David Nyembe wa Fahari News)



NAIBU  Waziri, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) Suleiman Jaffo. akikagua ghara mara baada ya kulifungua Rasmi.
(Picha na David Nyembe wa Fahari News)

NAIBU  Waziri, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) Suleiman Jaffo. akipiga kazi katika katika kalakana ya kutengeneza Madawati katika wilaya ya Mbarali.
(Picha na David Nyembe wa Fahari News)

kazi ikiendelea

NAIBU  Waziri, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) Suleiman Jaffo (kushoto)akiwa ameongozana na Mkurugenzi wa Almashauri ya Mbarali Yeremiah Mahinya (kulia) akikagua ubora wa madawati ambayo tayari yamekwisha kamilika na kupelekwa katika shule Mbalimbali za Wilaya hiyo.
(Picha na David Nyembe wa Fahari News)

NAIBU  Waziri, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) Suleiman Jaffo. akikagua shule ya Msingi Lusese ambayo amekuta wanafunzi hawana madawati ya kutosha, na kumwagiza Mkurugenzi kupeleka Madawati 150.





NAIBU  Waziri, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) Suleiman Jaffo. akikagua Hospitali ya Wilaya ya Mbarali hapo ni sehemu ya Dilishala  kutolea Dawa kwa  wagonjwa na kukuta hawatumii mashine ya Hetroniki Badala yake wanatumia Risti za kawaida, 


0 Responses to “ZIARA YA NAIBU WAZIRI WA OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA(TAMISEMI) MH SULEIMAN JAFFO.WILAYA YA MBARALI MBEYA”

Post a Comment

More to Read