Thursday, May 19, 2016

SASA MAPENZI YA JINSIA MOJA SIO HARAMU TENA USHELISHELI.




Bunge la Ushelisheli limeidhinisha sheria isiyoharamisha mapenzi kati ya watu wa jinsia moja.

Hatua hiyo ilichukuliwa baada ya rais James Michel, kutangaza kupitia kwa hotuba yake kwa taifa mwezi Februari kuwa, anataka kuondoa sheria inayoharamisha mapenzi ya jinsia moja.

Viongozi wa makanisa hasusan kanisa la katoliki wamamempinga wakisema kuwa mapenzi ya jinsia moja yako kinyume na kanuni za dini.

Hata hivyo wabunge walioipigia kura sheria hiyo, wanasema kwa katiba imetoa fursa ya kuwepo usawa na watu hawawewi kuadhibiwa kutoka na mwelekeo wao wa kijinsia.

0 Responses to “ SASA MAPENZI YA JINSIA MOJA SIO HARAMU TENA USHELISHELI.”

Post a Comment

More to Read