Thursday, July 14, 2016
AL SHABAB YAUA POLISI WANNE KENYA
Do you like this story?
Matukio ya Al Shabab
ambayo kwa siku za karibuni yalionekana kupungua yameibuka tena nchini Kenya
baada ya Polisi wanne kuuliwa na mtu mmoja ambaye alikuwa akishikiliwa na
kuwapokonya Polisi bunduki kisha kuwapiga na kusababisha kupoteza maisha.
Taarifa kutoka Kenya
zinaeleza kuwa mtu huyo alikuwa akishikiliwa katika kituo cha Polisi cha
Kapenguria kilichopo Kenya na alikuwa kashikiliwa kwa kosa la kukutwa
akiwashawishi raia wa nchi hiyo kujiunga na kikundi cha Al Shabab.
Aidha kituo cha Tv
cha Citizen cha Kenya kimeripoti kuwa waliopoteza maisha wamefikia sita na
milio ya risasi inaendelea kusikika katika eneo la kituo hicho.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “ AL SHABAB YAUA POLISI WANNE KENYA”
Post a Comment