Thursday, August 25, 2016
UTEUZI MPYA WA RAIS MAGUFULI
Do you like this story?
Leo tarehe 25, Agosti 2016 Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli amemteua Andrew Willosn Massawe
kuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu mpya wa Mamlaka ya vitambulisho vya Taifa “NIDA”.
Kabla ya uteuzi wa leo Andrew Massawe
alikuwa Mkurugenzi wa Mifumo ya Kompyuta BOT.
Bw. Massawe anachukua nafasi ya Dkt.
Modestus Kipilimba ambaye ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama
wa Taifa.
Uteuzi wa Bw. Massawe utaanza mara
moja.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
.gif)

0 Responses to “UTEUZI MPYA WA RAIS MAGUFULI ”
Post a Comment