Sunday, September 18, 2016

’VIDEO MPYA: DIAMOND PLATNUMZ NA RAYVANNY- SALOME




Wakali kutokea kiwanda cha Bongofleva Naseeb Abdul a.k.a Diamond Platnumz pamoja na Raymond a.k.a Rayvanny wakitokea katika Laber ya WCB leo September 18 2016 wanayofuraha kushare na sisi mdundo wao mpya unaoitwa ‘Salome

Tayari nimekusogezea hapa chini video yao, ukimaliza kuitazama niachie comment yako kuniambia wametisha kwa asilimia ngapi.

0 Responses to “’VIDEO MPYA: DIAMOND PLATNUMZ NA RAYVANNY- SALOME”

Post a Comment

More to Read