Wednesday, November 18, 2015

PICHA: STARS YAANZA SAFARI YA KUREJEA NYUMBANI.







Wachezaji wa timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ wameanza safari ya kurejea jijini Dar es Salaam baada ya kichapo cha magoli 7-0 walichokipata toka kwa Algeria kwenye mchezo uliochezwa jana usiku wa marudiano wa kutafuta nafasi ya kushiriki fainali za kombe la dunia zitakazofanyika mwaka 2018 nchini Urusi. 

Stars imetupwa nje ya michuano hiyo kwa jumla ya magoli 9-2 baada kucheza michezo miwili.  Stars imeanza safari saa tano kwa saa za Afrika Mashariki na wanatarajia kuwasili jijini Dar es Salaam Alhamisi November 19.

0 Responses to “PICHA: STARS YAANZA SAFARI YA KUREJEA NYUMBANI.”

Post a Comment

More to Read