Friday, November 20, 2015

HALMASHAURI YA JIJI LA MBEYA YAWATAMBULISHA MAAFISA HABARI WAKE.


Afisa utumishi wa Jiji la Mbeya Bw Erick Mapunda akizungumza na Waandishi wa Habari kwa Niaba ya Mkurugenzi wa Jiji


Waandishi wa Habari  wakisikiliza kwa makini(Picha na David Nyembe wa Fahari News)

Afisa Habari wa Jiji la Mbeya Bw John Kilua akijitambulisha kwa mara ya kwanza Mbele ya Waandishi wa Habari(Picha na David Nyembe wa Fahari News)


Afisa Habari wa Jiji la Mbeya Bi Jacqulina
akijitambulisha kwa mara ya kwanza Mbele ya Waandishi wa Habari(Picha na David Nyembe wa Fahari News)




Utambulisho wa maafisa wa habari kwa ajili ya kurahisisha upatikanaji wa habari zihusuzo Halimashauri ya jiji la Mbeya  uliofanyika katika ofisi za mkurugenzi wa jiji la Mbeya,shughuli hiyo imeendeshwa na afisa utumishi wa Halimashauri ya jiji la Mbeya Erick Mapunda kwa niaba ya mkurugenzi wa jiji la Mbeya kutokuwepo ofisini kutokana na shughuri za uchaguzi.

Maafisa waliotambulishwa kwa waandishi wa Habari ni Bi Jacqulina Msuya na Jonh Kilua ambao wameahidi kufanya kazi vyema na waandishi wa habari wa Mkoani Mbeya,utambulisho huwo ulifanyika mbele ya ya Afisa utumishi wa jiji la  Mbeya mbele ya waandishi wa Habari kutoka vyombo vya Habari jijini hapa.

0 Responses to “HALMASHAURI YA JIJI LA MBEYA YAWATAMBULISHA MAAFISA HABARI WAKE.”

Post a Comment

More to Read