Wednesday, November 23, 2016
MKUU WA MKOA WA MBEYA ATANGAZA MKAKATI WA KULIWEKA JIJI LA MBEYA SAFI ,KUPUNGUZA FOLENI NA AJALI
Do you like this story?
Mkuu wa Mkoa
wa Mbeya Amos Makalla leo amefunga maadhimisho wiki ya usalama barabarani mkoa wa Mbeya na kutangaza
mkakati kabambe wa kuondoa foleni na kupunguza ajali na wakati huo huo kuliweka jiji la Mbeya safi.
Amekemea uendeshaji wa vyombo vya Moto bila kuwa na leseni kuwa ndiyo chanzo cha kuongezeka kwa ajali nchini
Amewaomba wananchi kuheshimu sheria za barabarani na amepiga marufuku shughuli ndani ya road reserve
Operesheni weka jiji la Mbeya imeanza wiki hii na kupitia maadhimisho ya wiki ya usalama barabarani amewataka madereva wa bajaji, daladala, bodaboda na taxi kuheshimu route na vituo walivyopangiwa hii itasaidia kuweka jiji safi lakini utaondoa forest na bughudha kwa watumiaji wengine wa Barabara
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “MKUU WA MKOA WA MBEYA ATANGAZA MKAKATI WA KULIWEKA JIJI LA MBEYA SAFI ,KUPUNGUZA FOLENI NA AJALI”
Post a Comment