fahari News
Habari | Michezo | Bishara | Zabuni
Home
BIASHARA
KITAIFA
KIMATAIFA
USA
AFRIKA
AFRIKA MASHARIKI
MICHEZO
MUZIKI
SIASA
Recommended:
Perfect Social Media Marketing Stratergy For Your Business
Like
Wednesday, February 22, 2017
ALIYEKUWA KIONGOZI WA UJASUSI GAMBIA AKAMATWA
Tweet
Share
Do you like this story?
Aliyekuwa rais wa Gambia Yahya Jammeh
Maafisa wa polisi nchini Gambia wamemkamata aliyekuwa kiongozi wa kitengo cha upelelezi nchini humo ambaye anadaiwa kuongoza afisi ambayo wanaharakati wa kibinaadamu wanasema iliwatesa na kuwaua wapinzani wa Yahya Jammeh.
Yankuba Badgie alikamatwa pamoja na mfanyikazi mwengine wa zamani katika kitengo hicho siku ya Jumatatu, kulingana na msemaji wa polisi.
Bw Jammeh alibuni kitengo hicho mwaka aliochukua mamlaka kupitia mapinduzi 1994 na kupata sifa ya kuwa kitengo cha serikali kinachoogopwa zaidi, kulingana na chombo cha habari cha Reuters.
Afisa huyo sasa ni wa kwanza wa ngazi za juu wa serikali ya aliyekuwa rais wa taifa hilo Yahya Jammeh tangu kiongozi huyo aende mafichoni nchini Equitorial Guinea baada ya viongozi wa kimaeneo kupeleka majeshi yao nchini Gambia ili kumshinikiza kuondoka madarakani.
Alipoteza uchaguzi mnamo mwezi Disemba kwa rais mpya wa Gambia Adama Barroow awali alikuwa amekubali kushindwa lakini baadaye akataka kufutilia mbali matokeo hayo.
0 Responses to “ALIYEKUWA KIONGOZI WA UJASUSI GAMBIA AKAMATWA”
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Tweets by @FahariNews
More to Read
Buzz
Twitter
Facebook
RSS
Email
Must Read
Popular Posts
MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI WA JESHI LA POLISI.
Jeshi la Polisi Tanzania linawaita kwenye usaili vijana waliomaliza kidato cha nne mwaka 2013 na kidato cha sita mwaka 2014 ambao w...
WAUMINI WA KANISA WAKATWA SEHEMU ZAO ZA SIRI ILI WAMUONE MUNGU
Ishu ya imani ni ya mtu binafsi na kila mtu ana uwezo wa kuamini kile anachoona ni sahihi kwa mtazamo wake na mtu anapotokea kumu...
MAMA ABAKWA MBELE YA WATOTO WAKE....WABAKAJI WAFUNGWA MAISHA JELA
Mahakama ya Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya imewahukumu kutumikia kifungo cha maisha jela vijana wawili wakazi wa wilayani Chunya mko...
TRUMP APOTEZA $800m KIPINDI CHA MWAKA MMOJA
Trump na mkewe Melania na watoto wao wakati wa mkutano wa kampeni Mfanyabiashara tajiri wa New York anayewa...
Rayvanny - Unaibiwa ( Official Video music )
0 Responses to “ALIYEKUWA KIONGOZI WA UJASUSI GAMBIA AKAMATWA”
Post a Comment