Monday, March 27, 2017
AUDIO;SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO MPYA WA WEUSI MADARAKA YA KULEVYA
Do you like this story?
Kundi
la muziki la Weusi linaoundwa na wasanii mbalimbali akiwemo Joh Makini,
Nikki wa Pili na G Nako wote kutokea Arusha wameachia wimbo wao mpya
unaokwenda kwa jina la Madaraka ya Kulevya.
Wimbo huu umekuja ikiwa ni muda mrefu umepita bila wasanii hawa
watatu kutoa wimbo wa kundi ambapo kila mmoja alikuwa amejikita kufanya
kazi zake mwenyewe.
Usikilize wimbo huo hapa chini;
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “AUDIO;SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO MPYA WA WEUSI MADARAKA YA KULEVYA”
Post a Comment