Wednesday, March 29, 2017

AUDIO;MSIKILIZE MBUNGE.MSUKUMA AKISEMA NI SAHIHI NAPE ALIVYOSHIKIWA BASTOLA


Mbunge wa Geita vijijini Joseph Kasheku Msukuma, amesema kitendo cha aliyekuwa waziri wa habari utamaduni sanaa na Michezo Nape Nnauye kushikiwa Bastola wakati akitaka kuongea na waandishi wa habari, ni sahihi Kabisa

Mbunge huyo amesema hakuna anayejua maafisa usalama au maaskari hasa aliyemshikia bastola huwenda walikuwa wamepata fununu za jambo baya kwa Nape na Hivyo walifanya hivyo kumuokoa

Lakini amekwenda mbali zaidi kwa kufurahia Nape kutenguliwa uteuzi wake, kwa kuwa wabunge wapo wengi akiwemo yeye na kusema kuwa huwenda akateuliwa na Rais kuwa waziri kwa kuwa hata yeye anaupenda

0 Responses to “AUDIO;MSIKILIZE MBUNGE.MSUKUMA AKISEMA NI SAHIHI NAPE ALIVYOSHIKIWA BASTOLA”

Post a Comment

More to Read