Friday, March 31, 2017

SIKILIZA SAUTI:WAZAZI WA MBUNGE LIJUALIKALI BAADA YA MAHAKAMA KUTENGUA HUKUMU YA MTOT WAO


Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetengua hukumu iliyotolewa na Mahakama ya Wilaya Kilombero dhidi ya Mbunge Peter Lijualikali baada ya kukubali kuwa hati ya mashtaka iliyomtia hatiani ilikuwa na mapungufu.
Nje ya Mahakama hiyo wazazi wa Mbunge huyo walipata nafasi ya kuzungumza. Bonyeza play hapa chini kuisikiliza

0 Responses to “SIKILIZA SAUTI:WAZAZI WA MBUNGE LIJUALIKALI BAADA YA MAHAKAMA KUTENGUA HUKUMU YA MTOT WAO”

Post a Comment

More to Read