Saturday, April 15, 2017
AUDIO;Harmonize & Rich Mavoko wameachia ‘Show Me’
Do you like this story?
wasanii wa Bongofleva kutoka record label ya Wasafi Classic Baby (WCB) Harmonize & Rich Mavoko wameachia wimbo wao mpya walioshirikiana unaitwa ‘Show Me’ wimbo huo kwa sasa umeachiwa exclusive wasafi.com na unaweza ku-download kwa Tsh 300 producer ni Lizer wa wasafi records.
Unaweza kubonyeza HAPA kupata link itakayokupa maelekezo ya ku-download wimbo huo mpya
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “AUDIO;Harmonize & Rich Mavoko wameachia ‘Show Me’”
Post a Comment