Saturday, April 22, 2017
Mtoto mdogo ahofiwa kufariki baada ya kuzama mto Ngerengere
Do you like this story?
Mtoto
wa darasa la kwanza Mkoani Pwani aliyetambulika kwa jina la Karim Salum
anahofiwa kufariki Dunia baada ya kuzama wakati alipokuwa akiogelea
kwenye maji ya Mto Ngerengerea.
Wananchi wameendelea na jitihada za utafutaji wa mwili wa mtoto huyo ambao mpaka sasa bado haujapatikana.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)