Wednesday, May 3, 2017
Maadhimisho Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Yaanza Mwanza
Do you like this story?
Mkurugenzi wa Wakfu wa Vyombo vya Habari nchini 'TMF', Ernest Sungura
akiwasilisha mada kwenye kongamano la maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa
Vyombo vya Habari 2017 linalofanyika jijini Mwanza.
Baadhi ya wanataaluma ya habari na wadau anuai wa vyombo vya habari
wakiwa kwenye kwenye kongamano la maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo
vya Habari 2017 linalofanyika jijini Mwanza. Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Mwananchi Communication Ltd, Francis Nanai akichangia mada katika mkutano huo.
Mmiliki wa Kampuni ya Sahara Media Group, Antony Diallo akichangia hoja
kwenye kongamano la Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari
2017 linalofanyika jijini Mwanza. Kongamano hilo lililoanza leo Mai 2,
2017 linamalizika kesho Mei 3.
Baadhi ya wanataaluma ya habari na wadau anuai wa vyombo vya habari
wakiwa kwenye kwenye kongamano la maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo
vya Habari 2017 linalofanyika jijini Mwanza.
Baadhi ya wanataaluma ya habari na wadau anuai wa vyombo vya habari
wakiwa kwenye kwenye kongamano la maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo
vya Habari 2017 linalofanyika jijini Mwanza.
Mwenyekiti wa Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika-Tanzania,
Salome Kitomari akifuatilia mijadala mbalimbali kwenye kongamano la
maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari 2017 linalofanyika
jijini Mwanza. Kongamano hilo lililoanza leo Mai 2, 2017 linamalizika
kesho Mei 3 linashirikisha wanataaluma ya habari na wadau anuai wa
vyombo vya habari.
Baadhi ya wanataaluma ya habari na wadau anuai wa vyombo vya habari
wakiwa kwenye kwenye kongamano la maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo
vya Habari 2017 linalofanyika jijini Mwanza.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “Maadhimisho Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Yaanza Mwanza”
Post a Comment