Wednesday, May 3, 2017
PICHA,WAANDISHI WA HABARI MKOA WA MBEYA WAADHIMISHA SIKU YA UHURU WA VYOMBO KWA KUPANDA MITI
Do you like this story?
waandishi wa habari mkoa wa Mbeya wakiwa katika stendi ya mabasi kabwe kwa ajili ya kwenda kuadhimisha siku ya maadhimisho ya vyombo vya habari kwa kupanda miti |
Waandishi wakiwa katika maandamano kuelekea katika zoezi la upandaji miti |
Waandishi wa habari wakiwa tayari kwa kuanza kupanda miti katika chanzo cha maji Nzovwe |
Katibu wa chama cha waandishi wa habari mkoa wa Mbeya FRED HERBET akipanda mti katika kuadhimisha siku ya waandishi wa habari |
JACKLINE CHARZ mtangazaji wa Mbeya fm akishiriki katika zoezi la upandaji mti katika kuadhimisha siku ya uhuru wa vyombo vya habari |
Mwandishi wa gazeti la majira mkoa wa Mbeya Esther Macha akipanda mti kuadhimisha siku ya uhuru wa vyombo vya habari nchini |
Mwenyekiti wa chama cha waandishi wa habari mkoa wa Mbeya ModestusNkulu akiongea na waandishi wa habari baada ya kupanda mti |
Mara baada ya upandaji miti waandishi wa habari wakapiga picha ya pamoja |
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “PICHA,WAANDISHI WA HABARI MKOA WA MBEYA WAADHIMISHA SIKU YA UHURU WA VYOMBO KWA KUPANDA MITI”
Post a Comment