Thursday, May 4, 2017

VIDEO, Mwanamuziki Jaguar hatimaye ateuliwa kugombea ubunge kwa tiketi ya chama cha JUBILEEkatika jimbo la Starehe



Kamati iliyobuniwa kutatua mizozo na malalamishi ya chaguzi za mchujo wa chama cha Jubilee imemtangaza Charles Kanyi maarufu Jaquar kama mshidi wa chaguzi za eneo bunge la Starehe jijini Nairobi na kutupilia mbali ushidi wa mbunge wa eneo hilo Maina Kamanda Haya yanajiri huku kamati hiyo ikizisikiza kesi 300 kufikia sasa na kusalia na kesi 200 ambazo zinaendelea kuangaziwa.

0 Responses to “VIDEO, Mwanamuziki Jaguar hatimaye ateuliwa kugombea ubunge kwa tiketi ya chama cha JUBILEEkatika jimbo la Starehe”

Post a Comment

More to Read