Wednesday, June 11, 2014

MBUNGE ASIITWE YESU



DODOMA. Spika ane makind aamefuta jina la utani la yesu wa maswa alilokuwa akiitwa mbunge  wa maswa mashriki slyvester  kasulumbayi na matokeo  yake akambatiza  jina la nabii wa maswa.

Hayo yalitokea jana muda mfupi baada ya naibu waziri wa maendelo  ya mifugo uvuvi katika saningo telel kulitaja jina  la mbunge huyo kuwa naitwa yesu wa maswa.

Haya sasa nimesikia jina la mbunge huyu lakini mimi nasema kuanzia leo asiitwe jina hilo na badala yake napenda aanze kuitwa nabii wa maswa alisema makinda.

Wakati akijibu swali namb 219 mbunge huyo naibu waziri huyo alisema kuwa jina maarufu la mbunge huyo akiwa jimboni kwake ni yesu wa maswa

0 Responses to “MBUNGE ASIITWE YESU”

Post a Comment

More to Read