Wednesday, September 10, 2014
RATIBA YA TUME YA RAIS YA UCHUNGUZI WA OPERESHENI TOKOMEZA UJANGILI KUTEMBELEA MIKOA YA KIGOMA, KATAVI, RUKWA NA MBEYA
Do you like this story?
Tume
inatoa taarifa kwa Umma kuwa itatembelea Mikoa ya Kigoma, Katavi, Rukwa na
Mbeya kukusanya taarifa na kupokea malalamiko yaliyotokana na utekelezaji wa
Operesheni Tokomeza Ujangili kuanzia tarehe 17/9/2014 mpaka 6/10/2014 kama
ratiba inavyoonesha:-
Na.
|
Tarehe
|
Mkoa/Wilaya
|
1.
|
Jumatano 17/9/2014
|
Kigoma
|
Alhamisi
18/9/2014
|
Kibondo
|
|
Ijumaa
19/9/2014
|
Kibondo
|
|
Jumamosi
20/9/2014
|
Kasulu
|
|
2.
|
Jumatatu
22/9/2014
|
Kasulu
|
Jumanne
23/9/2014
|
Uvinza
|
|
Jumatano
24/9/2014
|
Uvinza
|
|
3.
|
Alhamisi
25/9/2014
|
Mpanda
|
Ijumaa
26/9/2014
|
Mpanda
|
|
Jumamosi
27/9/2014
|
Mpanda
|
|
4.
|
Jumapili
28/9/2014
|
|
Jumatatu
29/9/2014
|
Sumbawanga
|
|
Jumanne
30/9/2014
|
Sumbawanga
|
|
5.
|
Jumatano
1/10/2014
|
|
Alhamisi
2/10/2014
|
Mbozi
|
|
Ijumaa
3/10/2014
|
Mbeya
|
|
Jumamosi
4/10/2014
|
Mbarali
|
|
Jumapili
5/10/2014
|
Mbarali
|
|
6/10/2014
|
Aidha Tume
inaendelea kupokea taarifa na malalamiko kwa njia ya barua, simu na barua pepe
kwa anwani ifuatayo:-
i. Katibu
wa Tume
Tume ya
Uchunguzi wa Operesheni Tokomeza Ujangili
SLP 9050
Kivukoni
Front
Dar es
Salaam
iii. Namba
za simu:
Tigo:
0714 826826
Vodacom:
0767 826826
Airtel:
0787 826826
Zantel: 0773
826826
Imetolewa Na:
Frederick
K.Manyanda
KATIBU
WA TUME
9
Septemba, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “RATIBA YA TUME YA RAIS YA UCHUNGUZI WA OPERESHENI TOKOMEZA UJANGILI KUTEMBELEA MIKOA YA KIGOMA, KATAVI, RUKWA NA MBEYA ”
Post a Comment