|
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho kikwete na Rais wa Serikali ya Mapinduzi
ya Zanzibar Dkt.Mohamed Ali Shein wakiwa wameinua juu Katiba
inayopendekezwa katika hafla iliyofanyika katika uwanja wa michezo wa Jamhuri
mjini Dodoma Oktoba 08, 2014 Kulia ni Mwenyekiti wa Bunge maalum la Katiba
Mhe.Samuel Sitta akifuatiwa na Makamu wake Mhe samia Suluhu Hassan.
Aliyekuwa Mwenyekiti
wa Bunge Maalumu la katiba, Samuel Sitta amekabidhi Katiba
inayopendekezwa hafla iliyofanyika katika uwanja wa michezo wa Jamhuri
mjini Dodoma Oktoba 08, 2014 kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho kikwete na Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar
Dkt.Mohamed Ali Shein.
|
0 Responses to “KATIBA INAYOPENDEKEZWA YAKABIDHIWA.”
Post a Comment