Monday, November 17, 2014

ANGALIA ILIVYOKUWA WAKATI WABUNGE WAKIPIMWA AFYA ZAO MKOANI DODOMA


Mbunge wa Jimbo la Mbeya Vijijini,Mchungaji Luckson Mwanjale akimsikiliza kwa Makini Mtaalam wa Maswala ya Afya kutoka Hospitali ya Agha Khan wakati wa zoezi la kupima Afya kwa waheshimiwa Wabunge,Mjini Dodoma jana.

Mh. Mbunge akifanyiwa vipimo.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (kazi maalum),Prof. Mark Mwandosya akijiandaa kupima uzito wake.

Ushauri.

Waziri wa Afya Mhe.Dkt Seif Rashidi (kulia) akisalimiana na Mtendaji Mkuu wa Hospitali ya Agha Khan,Sisawo Konteh wakati wa zoezi la upimaji wa Afya kwa Waheshimiwa Wabunge,Mjini Dodoma jana.Katikani ni Mmoja wa Maafisa waandamizi wa Hospitali ya Agha Khan.

0 Responses to “ANGALIA ILIVYOKUWA WAKATI WABUNGE WAKIPIMWA AFYA ZAO MKOANI DODOMA ”

Post a Comment

More to Read