Friday, September 15, 2017

UNICEF YAUPONGEZA UONGOZI WA MKOA WA MBEYA KWA USHIRIKIANO NA USIMAMIZI WA MIRADI



Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh Amosi Mkalla  azindua mradi wa mpango wa Afya na ujasiriamali kwa vijana





Picha ya Pamoja

Picha ya Pamoja



UONGOZI wa unicef umeupongeza uongozi wa Mkoa was Mbeya chini ya Mkuu wa mkoa kwa ushirikiano mkubwa wanaoupata ktk kutekeleza majukumu yao

 hayo yamesemwa  na mwakilishi wa unicef Bi Ulrike Gilbert Nandra Mbele ya Mkuu wa mkoa wa Mbeya katika   uzinduzi mradi wa mpango wa Afya na ujasiriamali vijana uliofanyika  katika Ukumbi wa Mkapa ukiendeshwa kwa pamoja kati ya Unicef na TASAF.

Mkuu wa mkoa ameipongeza unicef kwa misaada mingi katika sekta mbalimbali na amehaidi kusimamia kwa karibu miradi yote inayofadhiliwa na unicef

0 Responses to “UNICEF YAUPONGEZA UONGOZI WA MKOA WA MBEYA KWA USHIRIKIANO NA USIMAMIZI WA MIRADI”

Post a Comment

More to Read