Do you like this story?
|
PHILIP HUGHES |
|
,PELE |
Bendera
zinapepea nusu mlingoti katika viwanja vya cricket nchini Australia katika
kuomboleza kifo cha mcheza crickte Philip Hughes aliyefariki hapo jana baada ya
kupigwa na mpira. Salaam za rambi rambi zimeendelea kutolewa kutoka sehemu
mbali mbali duniani. Baadhi ya wachazaji wa cricket wamekuwa wakiacha magongo
ya mchezo huo katika mlangoni mwa nyumba zao kama ishara ya kuomboleza kifo
hicho.
Naye mwanasoka
wa maarufu wa zamani Abeid Pele amesema anaendelea vizuri baada ya kuwekwa
katika chumba cha wagonjwa mahututi kutokana na kusumbuliwa na tatizo la njia
ya mkojo.
Taarifa zinasema
Pele alipelekwa hosptalini hapo na kuwekwa katika chumba cha wagonjwa mahututi.
Na kindumbwembwe
cha ligi kuu ya England kinaendelea kesho ambapo Arsenal watasafiri kumenyana
na West Bromwich Albion huku Manchester United wakipepetana na Hull City Mechi
ambayo itatangazwa moja kwa moja na Idhaa ya Kiswahili ya BBC kuanzia majira ya
saa kumi na moja kwa saa za Afrika Mashariki. Mechi nyingine Sunderland
wataumana vikali na Chelsea na Liverpool wakikutana uso kwa uso na Stoke City.
..Ndondi za
kulipwa za shirikisho la kimataifa, Aiba, zinaendelea wikendi hii nchini
Argentina na Azerbaijan, huku klabu ya Twende ya Tanzania, ikizidi kupata
kichapo kwenye mashindano ya klabu bingwa Afrika ya mchezo wa magongo mjini
Bulawayo, Zimbabwe
0 Responses to “PHILIP HUGHES AFARIKI DUNIA,PELE ANAENDELEA VIZURI.”
Post a Comment