Wednesday, May 20, 2015

TRA MBEYA YATEKETEZA SHEHENA YA SIGARA ZILIZO INGIZWA NCHINI KWA NJIA YA MAGENDO


Meneja Mamlaka ya Mapato TRA Mkoa wa Mbeya  Anord Maimu akizungumzia juu ya hatua ya uteketezaji wa sigara zilizo ingia nchini kwa njia ya magendo na baadhi ya wafanyabiashara wasio waaminifu katika vipindi tofauti kutokea nchini Zambia mzigo ambao unathamani ya shilingi mil 12.


Ambapo amesema kuwa serikali imekuwa ikipoteza mapato  hususani kodi ya ongezeko ya thamani PG pamoja kodi ya mapato kwani mauzo yangefanyika katika soko la ndani serikali ingepata mapato yake.hivyo amewataka wanyabiashra wajiepushe na biashara za aina hiyo kwa
Meneja Usalama TCC ,Dar es salaam Ndugu Hassan Juma akionyesha utofauti wa bidhaa hizo ambazo ni halali kwa soko la ndani na soko la nje wakati wa uteketezaji wa bidhaa hizo zenye thamani ya shilingi mil12  Mei 19 mwaka huu





Alfred Mwakoba Meneja TCC Tawi la Mbeya akifafanua juu ya sigara hizo ambapo amesema kuwa ni harali kwa matumizi ya binadamu lakini ilitengenezwa kwa soko la nje hivyo kitendo cha cha kuzirejesha ndani ya nchini kutaka kuuza kwa faida kwa kubwa kwani zinapunguzo la kodi na kinyume cha sheria.


Kazi ya uteketezaji ikiendelea na vijana wa kazi













0 Responses to “ TRA MBEYA YATEKETEZA SHEHENA YA SIGARA ZILIZO INGIZWA NCHINI KWA NJIA YA MAGENDO”

Post a Comment

More to Read