Thursday, October 15, 2015

MWILI WA WAZIRI KIGODA WAWASILI DAR KUTOKA INDIA


Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk Abdallah Kigoda, enzi za uhai wake.

Aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne Makinda akijumuika na Watanzania wengine kuupokea mwili wa marehemu Kigoda.

Mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli naye yupo kuungana na Watanzania wengine kuupokea mwili wa Kigoda.

Ndugu, Jamaa na marafiki wakiusubiri kuupokea mwili wa Kigoda.



0 Responses to “MWILI WA WAZIRI KIGODA WAWASILI DAR KUTOKA INDIA”

Post a Comment

More to Read