Thursday, October 15, 2015

TAARIFA KUHUSU MKUU WA MAJESHI DAVIS MWAMUNYANGE FAMILIA WAFUNGUKA.




Familiaa ya Mkuu wa Majeshi General Davis Mwamunyange imetoa kauli mara
baada ya sitofahamu inayoendelea Mitandaoni Kuhusu Mkuu huyo wa Majeshi,Familia
ya CDF Mwamunyange: Yupo nje ya nchi kwa majukumu ya
Kitaifa.Akizungumza kwa Niaba ya Familia Kaka Yake Davis Mwamunyange
aamethibitisha Mdogo wake anaendelea na Majukumu yake yupo Nje ya Nchi
na Anatarajiwa Kurudi Nchini siku za Karibuni


Ni baada ya taarifa kuzagaa mitandaoni juu ya kulishwa sumu kwa mkuu huyo.
Familia imesema anaendelea vizuri na yupo nje ya nchi kwa majukumu ya kitaifa.
Chanzo: Kaka wa Jenerali Davis Mwamunyange.

CHANZO ITV

0 Responses to “TAARIFA KUHUSU MKUU WA MAJESHI DAVIS MWAMUNYANGE FAMILIA WAFUNGUKA.”

Post a Comment

More to Read