Thursday, December 10, 2015
RAIS MAGUFULI ATANGAZA BARAZA LAKE LA MAWAZIRI
Do you like this story?
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.
John Pombe Magufuli hivi punde ametangaza baraza lake la mawaziri, amesema
wizara nyingi wameunganisha na atakuwa na wizara 18, na watakuwa na mawaziri 19
tu, na baadhi ya wizara zitakuwa na manaibu waziri huku zingine hazitakuwa na
manaibu waziri.
Magufuli: Baraza nitakalolichagua halitakuwa
na semina elekezi, kama ni semina watajipa huko huko ndani, wenyewe.
Baadhi ya Wizara na Mawaziri wake:
Tamisemi, Utumishi na Utawala Bora – Simbachawene na Angela Kairuki.
Wizara ya Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora ina mawaziri wawili ambao ni Mh. Simbachawene na Kairuki
Wizara ya Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Waziri wake ni Jenesta Mhagama
Wizara ya Mambo ya Nje na EAC/ Kimataifa – Augustino Mahiga, Naibu Waziri – Dk. Suzan Kolimba
Wizara ya Ardhi – William Lukuvi
Wizara ya Elimu Waziri bado hajapatikana, Naibu Stella Manyanya
Waziri wa Afya Jinsia na Watoto: Ummy Mwalimu, Naibu wake Kigwangalla

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “ RAIS MAGUFULI ATANGAZA BARAZA LAKE LA MAWAZIRI”
Post a Comment