Waziri mkuu mstaafu, Mh. Mizengo Pinda akikata utepe kuashiria
uzinduzi rasmi wa tawi la NMB Sumbawanga. Hafla hiyo ilifanyika mwishoni
mwa wiki mjini Sumbawanga. Kutoka kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Said
Magalula, Afisa Mkuu wa Wateja Wakubwa wa NMB, Richard Makungwa (wa tatu
kulia), Meneja wa NMB Kanda ya Nyanda za Juu, Lucresia Makirie
wakishuhudia uzinduzi huo. |
0 Responses to “ BENKI YA NMB YAZINDUA RASMI TAWI LA SUMBAWANGA ”
Post a Comment