Monday, February 29, 2016

USIKU WA NAIBU SPIKA WA BUNGE LA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MH TULIA ACKSON.MBEYA


Wabunge wa Mkoa wa Mbeya wakimkabidhi Zawadi Naibu Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Tulia Ackson

Naibu Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Tulia Ackson akisalimiana na Mwenyekiti wa Vijana Mkoa( Uvccm) Amani Kajuna mara Baada ya Kuwasili Ukumbini.(Picha na David Nyembe wa Fahari News)

Naibu Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Tulia Ackson akitoa shukrani kwa Viongozi pamoja na wadau Mbalimbali waliofika.(Picha na David Nyembe wa Fahari News)





Ulifika wakati wa nani mkali wa kucheza kwaito.


Mbunge wa Songwe Mh Philipo Mlugo akiwa amebeba Keki.


Wadau Mbalimbali na Viongozi wa Serikali.


0 Responses to “USIKU WA NAIBU SPIKA WA BUNGE LA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MH TULIA ACKSON.MBEYA ”

Post a Comment

More to Read