Monday, February 29, 2016
BWENI LA WAVULANA SHULE YA SEKONDARI IYUNGA JIJINI MBEYA LATEKETEA KWA MOTO
Do you like this story?
Muonekano wa bweni la Wavulana katika shule ya sekondari Iyunga jijini Mbeya mara baada ya kuteketea kwa moto uliosababishwa na hitilafu ya umeme majira saa3 asubuhi ambapo hakuna mwanafunzi yeyote aliyejeruhiwa kutokana na ajali hiyo ya moto. . |
Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Nyirembe Munasa akizungumza na Walimu pamoja na wanafunzi (hawapo pichani )katika shule ya sekondari Iyunga jijini Mbeya mara ya baada ya kukumbwa na tukio la kuungua kwa moto kwa mabweni ya wavulana ya (Mkwawa) February 29 mwaka huu. |
Kamati ya ulinzi na Usalama wilaya ya Mbeya na baadhi ya viongozi wakitizama athari zilizotokea mara baada ya mabweni ya wavulana katika shule ya sekondari Iyunga jijini Mbeya kuungua moto uliosababishwa na hitilafu ya umeme February 29 mwaka huu . |
Afisa elimu Mkoa wa Mbeya Charles Mwakalila akizungumzia athari zilizojitokeza mara baada ya mabweni ya wavulana katika shule ya sekondari ya Iyunga jijini Mbeya ambayo yaliteketea kutokana na hitilafu ya umeme majira ya saa3 asubuhi wakati wanafunzi wakiwa madarasani . |
Baadhi ya wanafunzi waliofanikiwa kuokoa vifaa vyao kwa masaada wa watu wa zima moto wakiwa nje wakisubiri utaratibu mara baada ya bweni lao kuteketea kwa moto. |
|
Moto
kuteketeza Bweni la Wavulana (Mkwawa ) katika shule ya sekondari ya Iyunga
jijini Mbeya huku chanzo chake kikitajwa kuwa ni hitilafu ya umeme ambapo moto
huo ulizuka majira ya saa 3 asubuhi february 29 mwaka huu wakati wanafunzi
wakiwa madarasani.
Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Nyirembe Munasa mwenye
suti akisaidiana na kikosi cha Zima moto kuuzima moto ulioteketeza bweni la
wavulana katika shule ya sekondari ya Iyunga jijini Mbeya linalolaza wanafunzi
95 February 29 mwaka huu ambapo hakuna Muonekano wa bweni la Wavulana katika
shule ya sekondari Iyunga jijini Mbeya mara baada ya kuteketea kwa moto
uliosababishwa na hitilafu ya umeme majira saa3 asubuhi ambapo hakuna
mwanafunzi yeyote aliyejeruhiwa kutokana na ajali hiyo ya moto.
Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Nyirembe Munasa
akizungumza na Walimu pamoja na wanafunzi (hawapo pichani )katika shule ya
sekondari Iyunga jijini Mbeya mara ya baada ya kukumbwa na tukio la kuungua kwa
moto kwa mabweni ya wavulana ya (Mkwawa) February 29 mwaka huu. Kamati ya
ulinzi na Usalama wilaya ya Mbeya na baadhi ya viongozi wakitizama athari
zilizotokea mara baada ya mabweni ya wavulana katika shule ya sekondari Iyunga
jijini Mbeya kuungua moto uliosababishwa na hitilafu ya umeme February 29 mwaka
huu .
Afisa elimu Mkoa wa Mbeya Charles Mwakalila akizungumzia athari
zilizojitokeza mara baada ya mabweni ya wavulana katika shule ya sekondari ya
Iyunga jijini Mbeya ambayo yaliteketea kutokana na hitilafu ya umeme majira ya
saa3 asubuhi wakati wanafunzi wakiwa madarasani .
Baadhi ya wanafunzi waliofanikiwa kuokoa vifaa
vyao kwa masaada wa watu wa zima moto wakiwa nje wakisubiri utaratibu mara
baada ya bweni lao kuteketea kwa moto.
Baadhi
ya wanafunzi wakiwa nje kusbiri utaratibu mara baada waliofanikiwa kuokoa baada
ya bweni lao kutektea kwa moto.Picha na David Nyembe
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “ BWENI LA WAVULANA SHULE YA SEKONDARI IYUNGA JIJINI MBEYA LATEKETEA KWA MOTO”
Post a Comment