Thursday, March 3, 2016
BENKI YA NMB YADHAMINI MKUTANO WA WANASHERIA.
Do you like this story?
Ofisa mkuu wa Kitengo cha Wateja Wadogo Benki ya NMB PLC, Abdulmajid Nsekela akiongea na wanasheria waliohudhuria Mkutano wa Mwaka wa Wanasheria uliyofanyika AICC mjini Arusha. |
Chama Cha Wanasheria nchini (Tanganyika Law Society) waliohudhuria Mkutano mkuu wa mwaka katika ukumbi wa AICC jijini Arusha |
Benki
ya NMB imeendelea kuimarisha uhusiano wake na Chama Cha Wanasheria nchini
(Tanganyika Law Society) kwa kuudhamini mkutano wa mwaka kwa kiasi cha
Tsh 10M kwaajili ya maandalizi na shughuli za mkutano huo uliyofanyika katika
ukumbi wa AICC jijini Arusha.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “ BENKI YA NMB YADHAMINI MKUTANO WA WANASHERIA.”
Post a Comment