Sunday, March 6, 2016

RAIS MAGUFULI AMEMTEUA BALOZI MHANDISI JOHN KIJAZI KUWA KATIBU MKUU KIONGOZI MPYA IKULU




Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemteua, Balozi Mhandisi John William Kijazi (pichani) kuwa Katibu Mkuu Kiongozi Ikulu.

Kwa mujibu taarifa rasmi, kwa vyombo vya Habari, iliyotolewa na Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Ikulu ya Tanzania, Gerson Msigwa kama inavyosomeka hapa chini.


0 Responses to “ RAIS MAGUFULI AMEMTEUA BALOZI MHANDISI JOHN KIJAZI KUWA KATIBU MKUU KIONGOZI MPYA IKULU”

Post a Comment

More to Read