Friday, March 4, 2016

RATIBA YA LIGI KUU YA VODACOM (VPL) KESHO JUMAMOSI




Jumamosi ya Machi, 5 kunataraji kuendelea kwa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kwa michezo saba.

Mchezo unaotazamiwa kusubiriwa na mashabiki wengi wa soka nchini ni mchezo wa Azam ambayo itakuwa mwenyeji wa Yanga, mchezo utakaochezwa katika uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam.

Ratiba ya michezo mingine ni;

Africans Sports – Maji Maji

Toto Africans – Ndanda

Kagera Sugar – Mgambo JKT

JKT Ruvu – Mwadui

Tanzania Prisons – Stand United

Mtibwa Sugar – Coastal Union

0 Responses to “ RATIBA YA LIGI KUU YA VODACOM (VPL) KESHO JUMAMOSI”

Post a Comment

More to Read