Friday, September 2, 2016

MKUU WA WILAYA YA MBEYA AKIANGALIA KAZI INAYOENDELEA KATIKA STANDI YA KABWE.


Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Williamu Paul Ntinika kwanza kulia akipokea maelezo kutoka kwa mfanyabiasha eneo la Kabwe, Ezekiel katika ziara ya kukagua hatua za awali za kuweka michoro kwa ajili ya meza za wafanyabiashara wadogo na mama lishe kituo cha daladala Kabwe Jijini Mbeya kushoto katibu tawala Wilaya ya Mbeya Aron Msote.


 Mafundi wakiweka michoro kwa ajili ya kuweka meza wafanya biashara wadogo maarufu kwa jina na machinga na mama lishe katika kituo cha daladala cha Kabwe jijini Mbeyapicha na Kenneth Ngelesi


0 Responses to “ MKUU WA WILAYA YA MBEYA AKIANGALIA KAZI INAYOENDELEA KATIKA STANDI YA KABWE.”

Post a Comment

More to Read