Thursday, September 1, 2016

TUKIO LA KUPATWA KWA JUA MBARALI MBEYA.


Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amosi Makalla (wa Pili kutoka kulia) akiwa na Pasco Sherukindo (katikakti)Meneja mawasiliano wa (Hifadhi za Taifa Tanzania Tanapa) pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Songwe Luteni Mstaafu Chiku Gallawa wakiwa wanatizama kupatwa kwa Jua katika Mkoa wa Mbeya Wilya ya Mbarali Rujewa.(Picha na David Nyembe wa Fahari News Mbeya) 


Watoto wakiwa wanashuhudia kupatwa kwa Jua.

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amosi Makalla akizungumza na Wananchi waliojitokeza kwa wingi kushuhudia Tukio kubwa la Kihistoria katika Mkoa wa Mbeya Wilaya ya Mbarali Rujewa.(Picha na Dvid Nyembe wa Fahari News Mbeya)

hata vifaa hivi vya Mafundi wa Kuchomelea vilikuwepo katika tukio kubwa la kupatwa kwa Jua.


Watalii kutoka Nchi Mbalimbali pia walifika kushuhudia tukio la kupatwa kwa Jua.

Mwonekano jinsi jua lilivyokuwa likitokea katka Mkoa wa Mbeya Wilaya ya Mbarali Rujewa.




Pia Polisi nao walikuiwepo kushuhudia tukio la kupatwa kwa Jua.


Wanafunzi wa Shule za Msingi wakishuhudia kupatwa kwa Jua.

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amosi Makalla akiwa na wanafunzi wa Shule za Msingi akiwaonyesha Jinsi Jua linavyoonekana

Watalii kutoka Swedeni Ujerumani pia wakiwa na Vifaa Maalumu vya kutizamia Jua.


0 Responses to “TUKIO LA KUPATWA KWA JUA MBARALI MBEYA.”

Post a Comment

More to Read