Thursday, September 1, 2016

NHC WAONDOA VIFAA BILICANAS





NHC wameanza kuondoa vifaa kwenye Jengo la Bilicanas jijini Dar es Salaam. Itakumbukwa wiki chache zilizopita NHC walitoa majina ya wadaiwa ikiwemo Jengo la Bilicanas lililopangishwa na Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe.
 




Jengo hilo pia lina ofisi za gazeti la Tanzania Daima ambalo pia linamilikiwa na Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe.

0 Responses to “NHC WAONDOA VIFAA BILICANAS”

Post a Comment

More to Read