Sunday, September 11, 2016

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA WAONGOZA WAKAZI WA BUKOBA KUAGA MIILI YA WALIOFARIKI KWA TETEMEKO.




Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa leo ameongoza waombolezaji kuaga miili ya watu 16 waliopoteza maisha kwenye tetemeko la ardhi lililotokea jana mkoani Kagera.




Zoezi hilo la kuaga miili limefanyika katika Uwanja wa Kaitaba uliopo Bukoba Mjini mkoani Kagera.

Jumla ya watu 16 wamefariki dunia huku zaidi ya 200 wakijeruhiwa.

0 Responses to “WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA WAONGOZA WAKAZI WA BUKOBA KUAGA MIILI YA WALIOFARIKI KWA TETEMEKO.”

Post a Comment

More to Read