Tuesday, November 29, 2016
MKUU WA MKOA AREJESHA VIWANJA 680 KWA WANANCHI WA KANDETE- KYELA
Do you like this story?
Mkuu wa Mkoa
wa Mbeya Amos Makalla Leo ameiagiza Halmashauri
ya Kyela kuwarejeshea wananchi viwanja 680 ambavyo walivipima Kijiji cha
KANDETE ili viuzwe baada ya kukamilisha
kuwalipa wananchi fidia lakini Mpaka uamuzi huu unafanyika ni miaka
mitatu wananchi hao hawajalipwa fidia
Amewataka
wananchi kushirikiana na Halmashauri ya Kyela iwapatie hati na sharti mojawapo
kwa wananchi au watakaowauzia wajenge kwa mujibu wa mpango miji
Amesema
uamuzi huu una lengo ka kuwaondolea adha wananchi kuendelea kusubiria fidia
ambayo Halmashauri wamekosa Fedha lakini
pia itawapa fursa wananchi wenyewe baada ya kupata hati watauza wenyewe
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “MKUU WA MKOA AREJESHA VIWANJA 680 KWA WANANCHI WA KANDETE- KYELA”
Post a Comment